UUNDAJI WA VIKUNDI VYA UZALISHAJI MALI

Uundaji wa vikundi vya uzalishaji mali na uongezaji wa kipato cha kaya (IGA na VIKOBA) kama njia ya kukomesha utumikishwaji wa watoto. Mradi huu ulifadhiliwa na World Vision Tanzania ukiwa na lengo la kukuza ukwasi kwa kaya maskini ambazo watoto hutumika kama njia mbadala ya kuongeza kipato. Shughuli zilizotekelezwa ni pamoja na:- Kuwezesha kuanzishwa kwa vikundi vyaVICOBA/IGA katika maeneo ya vijijini. Kutoa mafunzo kwaAsasi za kiraiajuu ya umhimu wa kuwa na shughuli zaIGA Kutoa mafunzo kwa(wakufunzi ngazi ya jamii-CBT) juu ya uanzishaji, matumizi na manufaa yaIGAs/VICOBA Kuendesha mafunzoya wakufunzi(TOT)kwa ajili ya kusimamia VIKOBA/IGA kwenye ngazi ya pamoja na ujuzi wa biashara Kuandaaagenda na ziara ili kuwezesha ushiriki wawakulimakatikasikuya wakulima Kutambua makundiambayo yanawezakushiriki kikamilifukwa ajili ya kuteteakuongezeka kwabajeti ya kilimokatika ngazi ya wilaya Mafunzo kwa wakulimakwa ajili ya kuteteakuongezeka kwabajetiya kilimo katika ngazi ya wilaya Kuwezesha gharama za usafiri ili kuwezesha maafisa wa kujitolea kufika ngazi ya kata wakati wa uwezeshaji na ufuatiliaji kazi.